RAIS SAMIA AKUTANA NA KUZUNGUMZA NA RAIS WA JAMHURI YA WATU WA CHINA MHE. XI JINPING, BEIJING NCHINI CHINA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Mwenyeji wake Rais wa Jamhuri ya Watu wa China Mhe. Xi Jinping mara baada ya kuwasili katika ukumbi wa The People Great Hall, Beijing nchini China tarehe 03, Novemba, 2022. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa